Download our Apps: Android | iPad | iPhone | BlackBerry
BREAKING
NEWS
  • Featured
  • Great Thinkers
  • Jukwaa la Siasa
  • Latest Topics
  • Mahusiano, Mapenzi
  • Story of the day
  • 25th Jan 2013

    Manumba apelekwa Afrika Kusini kwa matibabu zaidi

    January 25 2013 by JamiiForums

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai, DCI, Robert Manumba, ameondoka jioni hii kuelekea Afrika Kusini, kwa matibabu zaidi baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo. Habari za uhakika zilizoifikia FikraPevu zimeeleza kwamba Manumba ameondoka kwa ndege maalum ya kampuni ya AAR kwenda Afrika Kusini akitokea hospitali ya Agakhan ya jijini Dar alikokuwa amelazwa

    25th Jan 2013

    Picha na Habari: Yaliyotokea kijijini Msimbati, Mtwara

    January 25 2013 by JamiiForums

    Katika habari hii, utapata taarifa za gari linalosadikiwa kuwa lilikuwa limeandaliwa kwenda kumchukua Bibi Somoye Issa (90) ambaye ni Mkuu wa Kaya aliyetoa kauli kuwa gesi ikisafirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, itageuka kuwa maji, kuchomwa moto usiku wa jana huko kijijini Msimbati, Mtwara&#

    12th Jan 2013

    Mwanamke na kizungumkuti cha kumtambulisha mpenzi mpya kwa mzazi mwenzie…!

    January 12 2013 by JamiiForums

    Suala la mwanamke kuzaa pasipo kuolewa sio geni siku hizi. Kuna wimbi kubwa la wanawake waliozaa bila kuolewa. Si lengo langu kuzungumzia sababu ya uwepo wa wanawake waliozaa bila kuolewa, lakini ninachotaka tujadili hapa ni swala la mwanamke kumtambulisha mpenzi mpya kwa mzazi mwenzie. Inaweza kutokea kwamba mwanamke amezaa na mwanaume lakini kutokana na sababu

    12th Jan 2013

    Kwanini waislamu hawana imani na vitengo vinavyohusika na takwimu?

    January 12 2013 by JamiiForums

    Hili ni suala muhimu kulipatia jibu na kulifahamu kwa kina sisi kama Waislamu. Wengi wana maoni kuwa kitendo cha Waislamu kuomba kushirikishwa katika Sensa na kuomba kuingizwa kwa swali la Dini ni ukorofi tu wa Waislamu. Ukweli unafichwa na makala hii ina lengo la kuwajuza watu vipengele kadhaa juu ya hila katika sensa zilizopita. Makala

    12th Jan 2013

    Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    January 12 2013 by JamiiForums

    …Katika matakwa yake Mohamed Said anataka historia ya Uhuru ingetazama itikadi za kidini kwanza kabla ya kusimamia maudhui halisi ambayo ni Uhuru… Nikubaliane nae kuwa historia ya nchi yetu ina mapungufu na inahitaji masahihisho, lakini kwa hili la Mohamed si masahihisho bali ni upotoshaji mkubwa, Uchochezi na ni Uhaini kwa nchi. Sipingi kusahihisha historia ya

    12th Jan 2013

    Kikwete’s Regime Exposed: Activists report to US Congressional Committees…

    January 12 2013 by JamiiForums

    The following is presentation of what its authors believe to be the political reality in the country right now following a number of violent acts against unarmed citizens, activists, politicians and journalists. We are not sure to which congressional committee this presentation was made or presented. Some of you might have seen it already; if

    Page 1 of 212


    Contests n Polls

    Our Partners

  • Who We are?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome! Read more... - http://j.mp/ZG6BMX

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site please Contact us.

    Donate

    Please make a donation in order to support the efforts to run the site and do our work seamless! Read - http://j.mp/X0Dfaw
    • Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
      Show/Hide This